Teknolojia

Kwa Nini Tunapaswa Kuwa na Mawasiliano ya Dharura Kwenye Simu Zetu?

Kwa nini tuna mawasiliano ya dharura?Katika maisha ya sasa hivi ni kawaida mtu kuweka kufunga simu yake na nenosiri au mifumo mingine iliyowekwa ili kulinda na kudh...

WhatsApp Yaongeza Muda wa Kuanza Kutekeleza Sera yao Mpya ya Faragha

Sera hizo mpya sasa zitawezesha taarifa za watumiaji wa WhatsApp kuonekana na kuhifadhiwa na huduma za Facebook, yaani kampuni zinazoshirikiana na Facebook kutoa h...

Jinsi Mitandao ya Kijamii Inavyoathiri Afya Yako ya Akili

Kuongezeka kwa mitandao ya kijamii kunamaanisha kuwa watu wameunganishwa zaidi kuliko vile tulivyowahi kuwa historia ya nyuma. Lakini utegemezi wetu kwenye mitanda...

Wafahamu Washindi wa Tuzo za Kidigitali ‘Tanzania Digital Awards’ 2020

Washindi wa kwanza wa Tuzo za Kidigitali (Tanzania Digital Awards) mwaka 2020 wametangazwa rasmi baada ya watanzania kupiga kura. Jumla ya wawania tuzo 50 wameibuka...

IGP Sirro; Tunapeleleza kuhusu QNET tutawapa wananchi ukweli wa mambo

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha upelelezi kimeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya upelelezi il...

Ujerumani Mbioni kuhalalisha Ufanyaji Kazi Kutoka Nyumbani

Nchi ya Ujerumani iko mbioni kuchapisha sheria itakayohalalisha mtu kufanya kazi akiwa mazingira ya nyumbani. Ujerumani imesema kuwa inataka kuwapa raia wake haki...