Mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu katikati ya ombwe la kisiasa Italia: Kuzaliwa na kufa kwa kundi la RED BRIGADE (Sehemu ya Pili)
Inatoka sehemu ya kwanzaBaada ya serikali kuonekana kutotia nguvu kumuokoa Moro kwa kutofanya makubaliano na kundi hilo, ni dhahiri maisha ya Moro yalikuwa hatarini....