Siasa

Joe Biden Afanya Mazungumzo ya Simu na Rais Kenyatta

Rais wa Marekani amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa na kumhakikishia ushirikiano thabiti wa Marekani na Kenya. Katika taarifa k...

Kundi la Waasi, FDLR-FOCA Lakana Kuhusika na Mauaji ya Balozi wa Italia

Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Atta...

Serikali Yasema Kutoa Takwimu ni Kuwatisha Wananchi

Serikali imesema kuwa haitatoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona kwani kufanya hivyo ni kuongeza hofu kwa wananchi hali itakayopunguza kinga za...

Rais Magufuli Asisitiza Matumizi ya Barakoa za Ndani, Awataka Watanzania Kuzidisha Maombi na Kujifukiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amesema kuwa serikali haijakataza matumizi ya barakoa katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya coron...

Kusaidia Nchi Maskini Kupata Chanjo ya Corona Kipaumbele Mkutano wa G7

Mkutano wa usalama wa Munich ulifanyika kwa njia ya video hapo jana, Februari 19 ukihusisha washirika kutoka mataifa 7 tajiri zaidi duniani.Rais Joe Biden katika ho...

Rais Mwinyi Aungana na Wazanzibari Kumuaga Maalim Seif, Zitto Akosa Maneno

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi leo amewaongoza waombolezaji wakiwemo viongozi na wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mak...