Michezo

Pitso Mosimane Uso kwa Uso na "Total War" ya Msimbazi

Shirika la habari la nchini Marekani CNN limemtaja kama Pep Gardiola wa mpira wa Afrika kwenye makala inayoelezea mchezo wa nusu fainali wa Mabigwa wa vilabu...

Yanga Yalalamikia Kuvurugwa kwa Mipango Yake ya Ubingwa

Kunyemelewa na watani zao wa Jadi Klabu ya simba katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara ndio mzimu unaoutesa Klabu ya Yanga kwa hivi sasa wakati ambapo baad...

Ligi kuu Uingereza: Mashabiki Kurejea Viwanjani Kabla ya Msimu Kumalizika.

Mkurugenzi mkuu wa ligi kuu Uingereza, Richard Masters anaamini mashabiki wanaweza kurejea viwanjani kushabikia timu zao kabla ya msimu huu wa 2020/21 kuisha.Mechi...

Namungo FC Yadai Wachezaji wake Kukutwa na Corona ni Uzushi, Wachezaji Walia Njaa

Klabu ya Namungo FC imekwama kwa  mara ya pili sasa kurejea nchini Tanzania kutokana na kuahirishwa kwa mchezo wake dhidi ya CD De Agosto kutoka katika mji wa...

Sintofahamu Yaibuka Baada ya Namungo FC Kushikiliwa Angola

Mapema leo, iliripotiwa kuwa Namungo FC ilizuiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini Angola ikidaiwa baadhi ya wachezaji wamekutwa na Virusi vya Corona.N...

Simba yaitungua AS Vita nyumbani kwao Kinshasa

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba wamewatoa kimasomaso mashabiki wake baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa kwanza wa kundi A Michuano ya Klabu Bingw...