Maoni

Malezi ya Mzazi Mmoja; Uhalisia na Changamoto Zake

Waswahili husema 'mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.' Je, umewahi kufikiri kuhusu malezi katika jamii za Afrika hasa kwa mtoto anayelelewa na mzazi mmoja?Malezi ya ku...

Maoni: Kenya Inavyokuja Juu kwenye Muziki Afrika Mashariki, Wasanii wa Tanzania Wanapaswa Kujifunza

Muziki ni sanaa, muziki ni utamaduni, muziki ni maisha, muziki ni ajira, muziki ni rafiki wa kweli kwenye shida na raha. Kuna mambo mengi yanayoweza kuamsha homoni z...

Hii Imekaaje? Mitandao ya Simu Yaendelea Kutoza Vifurushi Vipya Licha ya TCRA Kutangaza Kusitishwa kwa Bei Hizo

Mnamo Machi, 2 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitoa taarifa iliyohusisha kanuni mpya za vifurushi wakidai kuwa zitawezesha kutatua kero za watumiaji wa hu...

Ukatili wa Kingono Majumbani Nani Alaumiwe?

Suala la ukatili wa kingono majumbani linazidi kuitafuna jamii ya leo, watoto wamekuwa wakifanyiwa ukatili huo wa kingono na watu wa karibu wanaomzunguka na wengi...

Harmonize, Rayvanny wanavyotembelea kiki

Ndiyo! Ni kiki, wala haihitaji kutazama mara mbili mbili. Wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kila mmoja kwa nafasi yake alifanya mbwembwe zake ilimradi kumf...

Makeup na Nafasi Yake Katika Tasnia ya Urembo

Vipodoa Sura au “Make up” kama inavyojulikana na watu wengi hutumika kukwatua ngozi ili kuongeza uzuri wa mtu, hasa mwanamke.Mifano ya vipodoz...