Habari

Afrika Kusini: Mfalme wa Wazulu, Goodwill Zwelithini Aaga Dunia

Goodwill Zwelithini, Mfalme aliyeheshimiwa na Wazulu wa Afrika Kusini, amefariki akiwa na umri wa miaka 72 baada ya kukaa wiki hospitalini akiwa anatibiwa ugonjwa...

Watatu Mbaroni kwa Usafirishaji wa Vinyonga na Nyoka Kinyemela

Watanzania watatu watiwa mbaroni kwa wakituhumiwa kushirikiana na Jamhuri ya Czech wakituhumiwa kusafirisha nje ya nchi vinyonga 74 na nyoka 6.Kupitia vyombo vya h...

#KENYA: Kiongozi wa Chama cha ODM, Raila Odinga Akutwa na Corona

Katika taarifa Alhamisi, Raila amewaambia Wakenya kuwa corona ipo na kuwataka hatua zote zilizoainishwa ili kujikinga na maambukizi hayo.Aliongeza, "Pamoja na ukw...

Kagame, Rais wa Kwanza Afrika Mashariki Kupigwa Chanjo ya Corona

Siku ya Alhamis katika akaunti rasmi ya urais, zilichapishwa picha za Kagame, 63, na mkewe Jeannette wakipokea chanjo ambayo na ujumbe ulioweka wazi kwamba tayari...

Japan Yawaenzi Wahanga wa Tsunami wa Mwaka 2011

Japan leo imeadhimisha miaka 10 tangu kutokea kwa janga baya zaidi la asili katika historia ya nchi hiyo ambalo ni  tetemeko kubwa la ardhi, tsunami na kuyeyu...

BURUNDI: Wafungwa Zaidi ya 5000 Wanufaika na Msamaha wa Rais

Amri ya Rais Evariste Ndayishimiye ya Machi 5, 2021 Jumatatu ilitoa msamaha kwa wafungwa 5,255 nchini kote isipokuwa wale ambao walifanya uhalifu dhidi y...