Habari

Kampuni ya Pfizer Yasitisha Maombi ya Kutumia Chanjo yake Nchini India

Kampuni ya kutengeneza chanjo ya Pfizer Inc imesitisha ombi la kuidhini ya matumizi ya dharura ya chanjo ya COVID-19 nchini India ambayo imetengenezwa kwa ushiriki...

Libya yafanikiwa Kuchagua Serikali ya Mpito

Baraza la Libya linaloongozwa na Umoja wa Mataifa limepiga kura juu ya uchaguzi wa serikali ya mpito na kumchagua mfanyabiashara Mohammed al-Menfi kuwa mkuu wa bar...

Jeff Bezos ang'atuka kuwa CEO wa Amazon

Muanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos yupo mbioni kuachilia nafasi ya Mkurugenzi Mkuu baada ya kushikilia cheo hicho kwa takribani miaka 30 akiwa kama mjasiri...

Rais Magufuli Amuapisha Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Zepharine Galeba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Mhe. Jaji zepharine Galeba Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania katika hafla i...

Lipumba amkumbusha Rais Magufuli kumaliza kiporo cha Katiba ya Wananchi

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kukamilisha mchakato...

Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili

Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza leo Jumatatu katika maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dodoma. “…Ni lazima tubadilike, ni lazima tupende kilicho chet...