Habari

Ghana Yaahirisha Shughuli za Bunge Baada ya Corona Kutimba Bungeni

Tamko la kuahirishwa kwa bunge la Ghana limekuja kufuatia ongezeko la maambukizi kati ya wabunge na wafanyakazi na linataraijia kurejea tena baada ya wiki tatu.Spik...

Serikali Yafutilia Mbali Waraka wa Prof. Bisanda Kuhusu Tahadhari ya Corona

Wizara ya Elimu imewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria kuendelea na masomo na kazi kama kawaida tamko ambalo limetolewa na wizara baada ya ushauri...

Mtoto wa Wiki 6 Afariki Dunia Baada ya Kukumbwa na Mshtuko wa Moyo Wakati wa Ubatizo

Tukio hilo limetokea Romania katika kanisa la Orthodox hali iliyopelekea kanisa kuwa chini ya shinikizo la kubadilisha taratibu zilizopitwa na waka...

Mtanzania achaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika

Jaji Imani Aboud amechaguliwa kwa awamu ya pili kuwa jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu. Jaji Aboud alichaguliwa kwa mara ya kwanza Julai 2018.&n...

Waandamanaji Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi Myanmar Wakumbwa na Maji ya Kuwasha

Februari 8, watu kutoka pande zote za  Myanmar walijiunga katika siku ya tatu ya maandamano ambayo yalianza kupata nguvu katika mji mkuu wa Yangon siku ya Jumam...

Kisa Kipya cha Ebola Chatimba DRC

Mwanamke mmoja ameripotiwa kufariki kutokana na kisa kipya cha ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikiashiria kesi ya kwanza tangu nchi...