Habari

Rais Mwinyi Aungana na Wazanzibari Kumuaga Maalim Seif, Zitto Akosa Maneno

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi leo amewaongoza waombolezaji wakiwemo viongozi na wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mak...

Ligi kuu Uingereza: Mashabiki Kurejea Viwanjani Kabla ya Msimu Kumalizika.

Mkurugenzi mkuu wa ligi kuu Uingereza, Richard Masters anaamini mashabiki wanaweza kurejea viwanjani kushabikia timu zao kabla ya msimu huu wa 2020/21 kuisha.Mechi...

Mfahamu Marehemu Balozi Kijazi

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu, Balozi Mhandisi John William Herbert Kijazi amefariki Februari 17 majira ya saa tatu na dakika...

Rais Tshisekedi Amteua Sama Lukonde Kyenge kuwa Waziri Mkuu mpya DRC

Kyenge aliteuliwa na Rais Felix Tshisekedi Jumatatu ya Januari 15 ikiwa ni zaidi ya wiki mbili tangu Waziri Mkuu wa zamani Sylvestre Ilunga ajiuzulu kufuatia kura...

COVAX: Mataifa Maskini Kuanza Kunufaika na Chanjo ya Corona

Shirika la afya duniani, WHO hapo jana limeridhia mpango wa chanjo ya virusi vya corona ya AstraZeneca kuanza kusambazwa kwenye mataifa maskini ikiwa ni baada ya k...

Namungo FC Yadai Wachezaji wake Kukutwa na Corona ni Uzushi, Wachezaji Walia Njaa

Klabu ya Namungo FC imekwama kwa  mara ya pili sasa kurejea nchini Tanzania kutokana na kuahirishwa kwa mchezo wake dhidi ya CD De Agosto kutoka katika mji wa...