Habari

Burundi Inaendelea na Zoezi la Uchaguzi Hii Leo, Mitandao ya Kijamii Haifanyi Kazi

Wananchi nchini Burundi wanaendelea na zoezi la uchaguzi mkuu wa wabunge na raisi leo Jumatano, licha ya kitisho cha maambukizi ya virusi vya corona, pamoja na kufun...

Waandishi wa Hadithi Fupi za Kiswahili Kutambuliwa na Kuzawadiwa

Shirika la La Cene Littéraire limeanzisha shindano la hadithi fupi kwa lugha ya Kiswahili, Kingereza na Kifaransa lijulikanalo kama Kalahari Short Stories Competitio...

Mchungaji Aliyedai Kuponya Wagonjwa wa Corona, Afariki Dunia kwa Corona

Mchungaji ‘aliyewaponya’ wagonjwa wa virusi vya Corona kwa kuwawekea mikono amefariki kwa gonjwa hilo la COVID-19 na kuzusha hofu kubwa kwa waumini wake huko nchini...

Ubalozi wa Kenya Watoa Ufafanuzi Kuhusu Kufungwa kwa Mipaka

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Danny Kazungu amesema kuwa Watanzania wote watakaopimwa virusi vya corona na hali yako kuwa salama wataruhusiwa kupeleka mizigo nch...

Lijualikali Aishutumu CHADEMA, Aomba Kuhamia CCM

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali amesema kuwa uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kukaa karantini haukuwashirikisha Wabunge wote bali yalikuwa ni maamuzi kutoka kati...

HELSB Yatakiwa Kuwa Tayari Kutoa Mikopo Mapema Vyuo Vitakapofunguliwa

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua ofisi mpya za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu zilizopo eneo la Tazara jijini Dar e...