Kimbunga Amphan Chasababisha Maafa India na Bangladesh
Maafisa nchini India na Bangladesh wanafanya tathmini ya uharibifu uliosababishwa na kimbunga Amphan kilichopiga mashariki mwa India na Bangladesh siku ya Jumatano...
Maafisa nchini India na Bangladesh wanafanya tathmini ya uharibifu uliosababishwa na kimbunga Amphan kilichopiga mashariki mwa India na Bangladesh siku ya Jumatano...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amesema kuwa serikali imeamua kufungua vyuo na shule kwa wanafunzi wa kidato cha sita kufikia Juni Mosi...
Visa vya maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu, COVID-19 au corona sasa vimefikia watu milioni 5, kwa mujibu wa takwimu zilizokusanywa na Chuo Kikuu cha John...
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii bila hofu ya ugonjwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa sampuli za madereva wa Kitanzania waliopimwa nchini Kenya na kuonesha kuwa wameambukizwa na virusi vya corona zil...
Mataifa ya India na Bangladesh yanajitayarisha kukabiliana na kimbunga kibaya zaidi kuwahi kushuhudiwa ndani ya muda wa miaka 20 iliyopita, kimbunga ambacho kinatara...