Habari

Mataifa 15 Yaliyoonesha Wasiwasi wa Ubora wa Vifaa vya Kupima na Kukabiliana na Virusi vya Corona

Duniani kote, janga la Virusi vya Corona limekuja na mengi. Wakati Marekani ikiishambulia China kwa maneno kuwa ndipo Virusi vya Corona vilipoanzia kwa kuviita ‘Viru...

Jamii ya Kimataifa, Wanasiasa, Wanaharakati wamlilia Balozi Mahiga

Asubuhi ya Mei Mosi imekuwa ya tofauti kwa watanzania na marafiki wa Tanzania baada ya kupokea taarifa za kusikitisha za kifo cha cha aliyekuwa Waziri wa Sheria na K...

Trump: China Itafanya Kile Iwezalo Kuhakikisha Sichaguliwi Tena

Vita ya maneno kati ya Washington na Beijing imeanza kuchukua sura mpya baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuishutumu China kwa mara ya kwanza, kwamba inaweza k...

Vurugu Zazuka Katika Gereza Lenye Maambukizi ya Corona, Sierra Leone

Vurugu zimezuka katika gereza kuu la mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, wakati ambapo mgonjwa mmoja akigundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.Majengo kad...

Kisa Corona: Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika 2020 Yaahirishwa

Waandaaji wa Tuzo ya Fasihi ya Kiswahili ya Mabati-Cornell wamelazimika kuahirisha kutolewa tuzo hiyo kwa mwaka 2020 katika sherehe ya tuzo ambayo ilitarajiwa kufany...

Ripoti ya LHRC Yataja Haki Tano Zilizokiukwa Zaidi 2019

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019 inayoangazia hali ya haki za binadamu kwa mwaka 2019 na kufanya uling...