Habari

Marekani Yatenga Dola Milioni 250 kusaidia Afrika kukabiliana na Janga la Virusi vya Corona

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Tibor Nagy amesema kuwa Marekani itaendelea kushirikiana na wabia wake barani Afrika kuk...

Mvua Kubwa Yaua 17, Yaharibu Miundombinu Rwanda

Mvua kubwa zilizonyesha siku ya Jumatano zimesababisha mafuriko yaliyopelekea vifo vya watu 17 nchini Rwanda.Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa mvua hizo zime...

Africa CDC: Vifaa vya Kupima Corona Tanzania Havina Kasoro

Mkuu wa Kituo cha Kupambana na Magonjwa Barani Afrika, Africa CDC, Dokta John Nkengasong, amekanusha madai ya Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli kuwa vifaa vinavy...

Hakikisheni Wageni Wamepimwa Afya: Mganga Mkuu, Makambako

Mganga mkuu halmashauri ya mji wa Makambako, mkoani Njombe, Alexander Mchone amewataka wananchi kuhakikisha kuwa wanatambua afya za ndugu zao au wageni  ambao w...

Daktari Mwenye Corona Ajirusha Kutoka Ghorofani Baada ya Kulazimishwa Kuwatibu Wagonjwa wa Corona

Daktari mmoja yupo mahututi akipokea matibabu baada ya kujirusha dirishani kutoka ghorofa ya pili kutokana na kulazimishwa kuwahudumia wagonjwa wa corona katika hosp...

Kisa Corona: Mamilioni ya Wanyama Wakiwamo Nguruwe 700,000 Wanauawa na Kutupwa kila Wiki Huko Marekani.

Wakati huu ambao dunia inakabiliana na Virusi vya Corona, hali ni tete kwa wakulima na wafugaji wa Wanyama kwa lengo la biashara ya nyama huko Marekani.Tangu kuanza...