Habari

Taharuki Baada ya Tumbili Kukimbia na Sampuli za Corona, Akutwa Akizitafuna Juu ya Mti

Kulikuwa na hali ya taharuki hii leo katika mji wa Meerut jimbo la Uttar Pradesh nchini India baada ya tumbili mmoja kumyang'anya sampuli za virusi vya corona afis...

Kifo cha Floyd: Kituo cha Polisi Minnesota Chachomwa Moto, Maduka Yaporwa

Vurugu zimeendela kushuhudiwa nchini Marekani kufuatia maandamano ya kudai haki kutokana na kifo cha raia wa nchi hiyo aliyefia mikononi mwa polisi, George Floyd map...

Kifo cha Floyd: Maandamano ya Amani Yageuka Vurugu, Jeshi Kuingilia Kati

Kifo cha raia wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika, George Floyd (46), aliyefariki mikononi mwa polisi katika jimbo la Minnesota kimeendelea kusababisha ghadhabu...

Video: ''Siwezi Kupumua! Siwezi Kupumua'' Ni Maneno ya Mwisho ya Mtu Mweusi Aliyeuawa na Polisi Kikatili Hadharani, Marekani

Katika video iliyosambazwa kupitia mitandao ya kijamii hivi leo, Polisi wa jimbo la Minneapolis nchini Marekani ameonekana akitumia goti lake kukandamiza shingo ya m...

Utafiti: Virusi vya Corona ni Njia Ya Bill Gates Kuweka Kifaa Katika Miili ya Watu

Kupambana na taarifa potofu wakati huu wa mlipuko wa virusi vya homa kali ya mapafu, COVID-19 au corona imekuwa changamoto kubwa kama ilivyo kupambana na virusi v...

WHO: Dunia Ijiandae kwa Maambukizi Mapya ya Corona

Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa kilele cha pili cha maambukizi ya virusi vya corona wakati ambapo mataifa mengi duniani yak...