Habari

Kauli ya Rais Obama kufuatia Kifo cha Mmarekani Mweusi, George Floyd

Marekani imekuwa katika hali tete kiusalama baada ya wananchi wake hasa watu weusi kulipukwa na hasira na kufanya maandamano kupinga ubaguzi wa rangi kufuatia kifo c...

Bodi ya Utalii Yazindua Filamu ya Kutangaza Utalii wa Tanzania

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua filamu fupi yenye urefu wa dakika kumi itakayotumika katika juhudi za kutangaza vivutio vya utalii Tanzania kwa watalii wa nd...

Lwakatare: CUF Hawakunisikiliza, Sasa Nimerudi Mnisamehe Tujenge Chama

Mwanasiasa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare amesema kuwa kama Chama cha Wananchi (CUF) kingesikiliza ushauri wake hapo awali basi asingekihama...

Kifo cha Floyd: Yote Unayohitaji Kufahamu

Maandamano yameendelea katika miji mbalimbali nchini Marekani kwa siku ya nne mfululizo kufuatia kifo cha George Floyd, aliyefariki mikononi mwa polisi siku ya Jumat...

Raisi Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi ya Ikulu Chamwino, Marais Wastaafu Wampongeza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amesema wakati anapokea kijiti cha Urais alimuahidi Rais Kikwete kuwa atahamisha ikulu kutoka Dar es sala...

Mtoto wa Mbunge Msigwa: Natamani Baba Yangu (Peter Msigwa) Angepumzika Tu. Hii Kitu (Siasa) ni ‘Stress Sana’

Jacquieline Msigwa, ambaye ni mmoja kati ya watoto mapacha wa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa kambi...