Habari

DC Kasesela Amtakia Kheri Mchungaji Msigwa Kwenye Kugombea Urais, Asema Hatoshinda

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amesema kuwa anamtakia kila la kheri Mchungaji Peter Msigwa ambaye ametangaza nia ya kuwania kiti cha Urais kupitia CHADEM...

Kenya: Jaji Mkuu David Maraga Amwambia Rais Kenyatta Kuwa Hana Mamlaka ya Kuingilia Uhuru wa Mahakama

Mahusiano kati ya muhimili wa Mahakama na Serikali huko nchini Kenya yanaweza kuingia shubiri kwa mara nyingine baada ya Jaji Mkuu wa taifa hilo kumwambia Rais kuwa...

Afrika Kusini: Waandamana Kupinga Mauaji na Ubaguzi wa Watu Weusi Marekani

Waandamanaji wanaounga mkono haki dhidi ya mauaji ya watu wenye asili ya Kiafrika nchini Marekani wameandamana hii leo nje ya majengo ya Bunge la Afrika Kusini kat...

CHADEMA Wafungua Milango Kwa Watia Nia Nafasi ya Urasi, Waomba Ushirikiano na Vyama Vingine

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefungua milango kwa watia nia ya nafasi ya Uraisi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Aki...

Maisha: Ugoni Sasa Ruksa Taiwan

Mahakama jijini Taipei nchini Taiwan Ijumaa, Mei 29, 2020 ilitoa hukumu ya kihistoria katika kesi ya kikatiba iliyokuwa ikipinga ugoni kuwa kosa la jinai. Wanaharaka...

Marekani Yajaribu Kuingilia Mgogoro wa China na Hong Kong, China Yajibu Kuwataka Wamalize Kwanza Mgogoro wa Kifo cha Floyd

Diplomasia ya nje ya Marekani inaanza kuingia doa baada ya China kuipuuzia Marekani mwishoni mwa juma kuwa taifa hilo linatakiwa 'kutoa kwanza boriti kwenye jicho...