Habari

Jumuiya ya Ulaya Yatoa Tamko Kuhusu Shambulizi Dhidi ya Freeman Mbowe

Jumuiya ya Umoja wa Ulaya nchini Tanzania imetoa tamko la pamoja kuhusu shambulizi liliofanywa dhidi ya  Mbunge Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama...

Rais wa Burundi Pierre Nkuruzinza Afariki Dunia

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki kwa Shinikizo la Moyo, kwa mujibu wa taarifa ya serikali.Katika taarifa iliyowekwa katika mtandao wa Twitter, serikali im...

Gilles Muroto, Kamanda wa Polisi Dodoma Atoa Ufafanuzi Tukio la Kushambuliwa kwa Mbowe

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto amesema jeshi la polisi mkoani humo linaendelea na uchunguzi kuhusu tukio la Shambulio la Kudhuru Mwili alilofan...

Serikali Kuboresha Huduma za Afya Mount Meru

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arush...

Raisi Magufuli Aonya Misaada ya Kujikinga na Corona

Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ameendelea kusisitiza na kutoa tahadhari juu ya vifaa vya msaada wa kupambana na virusi na virusi vya Co...

Mtu Mwingine Afariki Mikononi mwa Polisi Akilalamika "Siwezi Kupumua" Marekani

Katika kisa kinachofanana na kile cha George Floyd, mwanaume mmoja mwenye asili ya Kiafrika amefariki dunia mapama siku ya Jumatano katika mji wa Tacoma, Washingto...