Habari

BBC: Rais Pierre Nkuruzinza Amefariki kwa Ugonjwa wa Corona

Shirika la Utangazaji Uingereza (BBC) limeripoti kwamba duru za kuaminika zimethibitisha kuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkuruzinza alifariki dunia kwa ugonjwa utokanao...

Bajeti ya Serikali: Deni la Taifa ni Himilivu

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Phillip Mpango amesoma Bungeni Bajeti ya mwaka 2020/2021 ambayo ni ya mwisho katika awamu ya kwanza ya Serekali ya awamu ya tano chi...

Bunge Lapitisha Muswada wa Kuongeza Kinga kwa Viongozi Wakuu wa Serikali

Wabunge wamejadili na kupitisha muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali namba tatu (3) wa mwaka 2020 ambao umezua mjadala mkali kutokana na Wabunge k...

Corona: Visa vya Maambukizi Vyafikia Watu Milioni 2 Marekani, Laki 2 Afrika

Maambukizi ya virusi vya homa kali ya mapafu, COVID-19 au corona yamepindukia watu milioni 2 nchini Marekani huku zaidi ya watu 113,000 wakipoteza maisha, kwa muji...

TBL na SBL Kununua Zabibu Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekutana na wadau wa mazao ya shayiri na zabibu ili kuweka mikakati bora ya utekelezaji maagizo aliyoyatoa siku kadhaa ziliz...

Waziri Ummy Mwalimu: Corona Sasa Inamalizika

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa corona unaelekea kuisha nchini ambapo mikoa zaidi ya 15 haijaripoti...