Habari

Shirika la Umeme, Kenya Matatani Baada ya Twiga wawili `Kupigwa Shoti'

Taarifa kutoka kwa Huduma ya Wanyamapori Kenya (KWS) ilithibitisha kutokea kwa tukio hilo la twiga wawili 'kupigwa shoti' ambalo lilitokea katika Hifadhi ya Soysamb...

Rais Magufuli Asisitiza Matumizi ya Barakoa za Ndani, Awataka Watanzania Kuzidisha Maombi na Kujifukiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amesema kuwa serikali haijakataza matumizi ya barakoa katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya coron...

Pitso Mosimane Uso kwa Uso na "Total War" ya Msimbazi

Shirika la habari la nchini Marekani CNN limemtaja kama Pep Gardiola wa mpira wa Afrika kwenye makala inayoelezea mchezo wa nusu fainali wa Mabigwa wa vilabu...

Kusaidia Nchi Maskini Kupata Chanjo ya Corona Kipaumbele Mkutano wa G7

Mkutano wa usalama wa Munich ulifanyika kwa njia ya video hapo jana, Februari 19 ukihusisha washirika kutoka mataifa 7 tajiri zaidi duniani.Rais Joe Biden katika ho...

Yanga Yalalamikia Kuvurugwa kwa Mipango Yake ya Ubingwa

Kunyemelewa na watani zao wa Jadi Klabu ya simba katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara ndio mzimu unaoutesa Klabu ya Yanga kwa hivi sasa wakati ambapo baad...

Rais Magufuli Aongoza Waombolezaji Kumuaga Balozi Kijazi, Awataka Watu Wasitishwe na Corona

Rais Dkt John Magufuli amewaongoza viongozi mbalimbali na wananchi kuaga mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi balozi John Kijazi   Shughuli za ibada na kuaga mw...