Habari

Mke wa El Chapo Guzman Akamatwa kwa Ulanguzi wa Dawa za Kulevya, Marekani

Emma Coronel Aispuro, mwanamitindo wa zamani mwenye umri wa miaka 31, amekamatwa jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles jimboni Virginia na anatarajiwa...

Kundi la Waasi, FDLR-FOCA Lakana Kuhusika na Mauaji ya Balozi wa Italia

Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Atta...

Tanzania Miongoni mwa Nchi 10 Zilizowekewa Vikwazo vya Usafiri kwa Muda Oman

Serikali ya Oman imetoa orodha ya nchi 10 ambazo zimezuliwa kuingia nchini humo chini ya uamuzi wa hivi karibuni uliopitishwa na Kamati Kuu ya kushughulikia janga...

Picha na Video na NASA Kutoka Sayari ya 'Mars'

Tukio hilo lina kuja siku nne baada ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) kufanikiwa kuwezesha kutua salama kwa chombo chake cha Perseverance rover katika&n...

Serikali Yasema Kutoa Takwimu ni Kuwatisha Wananchi

Serikali imesema kuwa haitatoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona kwani kufanya hivyo ni kuongeza hofu kwa wananchi hali itakayopunguza kinga za...

Serikali Kutumia Ndege Kudhibiti Nzige

Serikali nchini Tanzania imetangaza kuanza kutumia ndege kunyunyizia dawa makundi ya nzige yaliyovamia wilaya ya Longido na Simanjiro wakitokea nchini Kenya.Taarif...