Habari

Kenya Yapokea Shehena ya Kwanza ya Chanjo ya Corona

Akizungumza kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jumanne usiku wa manane wakati shehena milioni 1.02 ya chanjo ya Oxford-AstraZeneca ilipowasili, W...

Mrithi Arithishwa Othman Sharif Aapishwa Kumrithi Maalim Seif

           Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt Hussein Mwinyi amemuapisha Othman Masoud Sharif kuwa Makamu...

Ethiopia: Wanahabari Wanne Wakamatwa Kufuatia Mzozo wa Tigray

Tigray imekuwa uwanja wa mapigano tangu mnamo November 2020 pindi Waziri Mkuu, Abiy Ahmed alipotangaza hatua za kijeshi dhidi ya TPLF na akiwashtumu kuvamia jeshi...

Trump Akana Uvumi wa Kuanzisha Chama Kipya

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Joe Biden akabidhiwe madaraka kama Rais na kusema hana mpango wa kuanzisha Chama kipy...

NIGERIA: Wasichana 300 Watekwa Nyara Baada ya Shule Kuvamiwa na Majambazi

Watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa majambazi wameshambulia Shule ya Sekondari ya Wasichana inayomiliiwa na serikali ya Nigeria, Jangebe katika mkoa wa Zamfara na...

Joe Biden Afanya Mazungumzo ya Simu na Rais Kenyatta

Rais wa Marekani amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa na kumhakikishia ushirikiano thabiti wa Marekani na Kenya. Katika taarifa k...