Habari

Guinea ya Ikweta : Mamia Wajeruhiwa Kufuatia Milipuko

Zaidi ya watu 15 wameuawa na wengine 500 kujeruhiwa hapo jana katika Jamhuri ya Guinea ya Ikweta baada ya milipuko kadhaa kutokea katika kambi moja ya kijeshi mjin...

Iraq: Papa Aendelea na Ziara

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis anayeendelea na ziara yake ya kihistoria nchini Iraq amewatolea wito viongozi na watu wa nchi hiyo kuepuka vurugu...

Somalia: Bomu la Kujitoa Mhanga Laua Watu 20

Watu wasiopungua 20 waliuawa na 30 kujeruhiwa na bomu la kujitoa muhanga lilikuwepo ndani ya gari kulipuka nje kidogo ya mgahawa karibu na bandari katika mji mkuu...

Iraq: Papa Francis Kuwasili Leo kwa Ziara ya Siku 4

Lengo la ziara ya Papa Francis hiyo ni kuendeleza uhusiano na waislamu wa nchi hiyo ya Mashariki ya Kati. Papa Francis amesisitiza kufanya ziara hiyo...

Bolivia: Wanafunzi 7 Wamefariki Baada ya Kuporomoka kutoka Ghorofa ya 4

Takribani wanafunzi saba wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya nne kufuatia kuvunjika kwa chuma walichokuwa wameegeme...

China: Upimaji Corona Kupitia Njia ya Haja Kubwa ni Lazima kwa Wageni Wote

Serikali nchini China inadai kuwa utendaji kazi wa kipimo hicho ni sahihi kuliko njia zingine za uchunguzi wa virusi, Gazeti la Times Uingereza, liliripoti.Kama se...