Habari

Uingereza: Kasri la Malkia Lashinikizwa Kujibu Madai ya Mwanamfalme, Harry na Mkewe

Shinikizo linazidi kuongezeka kwenye Kasri la malkia la Buckingham kujibu tuhuma za ubaguzi wa rangi katika familia ya kifalme kufuatia mahojiano ya Mwanamfalme, H...

Guinea Ya Ikweta: Idadi ya Vifo Yaongezeka hadi Watu 98

Idadi ya waliofariki kutokana na milipuko katika kambi ya jeshi huko Guinea ya Ikweta imeongezeka hadi watu 98 Jumatatu, televisheni ya serikali ilisema.Wizara ya...

Brazil: Mahakama Yafutilia Mbali Mashtaka Dhidi ya Rais Mstaafu, Lula Da Silva

Jaji wa Mahakama Kuu ya Brazil imefutilia mbali mashtaka ya ufisadi dhidi ya Rais wa zamani, Luiz Inacio Lula da Silva Jumatatu ya machi 8 wakirudisha haki ya mwan...

Ufaransa: Mbunge Bilionea Afariki kwa Ajali ya Ndege

Ajali hiyo ilitokea Jumapili jioni huko Normandy ambapo yalikuwa makazi yake wakati akiwa likizo, vyanzo vya polisi vilielezaAkimuelezea marehemu, Rais Emmanuel Mac...

Guinea ya Ikweta : Mamia Wajeruhiwa Kufuatia Milipuko

Zaidi ya watu 15 wameuawa na wengine 500 kujeruhiwa hapo jana katika Jamhuri ya Guinea ya Ikweta baada ya milipuko kadhaa kutokea katika kambi moja ya kijeshi mjin...

Iraq: Papa Aendelea na Ziara

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis anayeendelea na ziara yake ya kihistoria nchini Iraq amewatolea wito viongozi na watu wa nchi hiyo kuepuka vurugu...