Habari

URUSI: Huduma ya Magereza Yampeleka Mkosoaji wa Putin, Navalny Hospitali Kufuatia Ongezeko la Hofu ya Kuzorota kwa Afya Yake

Baada ya Daktari wa Mpinzani wa Rais Putin kutangaza kuwa hali ya afya ya Alexei Navalny ni mbaya anaweza kuwa anakaribia kifo, Jumatatu ya leo huduma ya magereza...

Marekani na EU Walaani Uamuzi wa Bunge la Somalia Kuongeza Muda wa Rais na Wabunge

Jana Jumanne Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria inayoongeza madaraka yake kwa miaka miwili hatua ambayo imepingwa vikali na Wafadhili wao....

MISRI: Meli ya Ever Given Yawekwa Kizuizini Mpaka Itakapokamilisha Fidia

Mamlaka inayosimamia Mfereji wa Suez imesema kuwa Meli ya Evergreen ambayo ilizuia Mfereji wa Suez na kukwamisha shughuli za biashara kwa takribani wiki moja imezu...

MISRI: Meli ya Ever Given Yawekwa Kizuizini Mpaka Itakakamilisha Fidia

Mamlaka inayosimamia Mfereji wa Suez imesema kuwa Meli ya Evergreen ambayo ilizuia Mfereji wa Suez na kukwamisha shughuli za biashara kwa takribani wiki moja imezu...

#Tanzania: Serikali Imekamilisha Malipo ya Ununuzi wa Ndege Mpya Tatu

Akitoa hoja bungeni juu ya makadirio na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2021/202...

Djibouti: Boti Yapinduka na Kuua Wahamiaji 34

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti vifo vya wahamiaji 34 waliofariki baada ya boti waliyokuwa wamepanda kupinduka na kuzama katika pwani ya Djibouti...