Tanzania

Tanzania Kunufaika na Ufadhili Kutoka Ujerumani

Serikali ya Ujerumani imetoa euro milioni 20 (shilingi bilioni 56) kwa Serikali ya Tanzania kusaidia katika kupambana na madhara ya Covid-19 katika sekta ya utalii.K...

Mashabiki Waishukia Simba, Ni Baada ya Simba Kuituhumu Yanga na Kutaka Ishushwe Daraja kwa Kugomea Mchezo

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Soka Tanzania Bara, timu ya Simba imetoa tamko jioni ya Jumapili Mei 9, 2021 ikieleza kutokufurahishwa kwake na hatua iliyochukuliwa na...

Neema kwa Walimu na Madaktari, Serikali Yatangaza Ajira Mpya 9,675

Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)  imetangaza jumla ya ajira mpya 9,675. Tamko lililotolewa Jumapil...

Ndugai Aagiza PAC Kufanya Mahojiano na Mashirika Ambayo Hayakuwasilisha Hesabu zao kwa CAG

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameagiza Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuyaita na kuyahoji Mashirika ambayo hayakuwasilisha mahesabu yao ya mwaka wa fedha...

Tanzania Yaungana na Nchi 5 za Afrika Zilizositisha Safari za Ndege Kwenda Mumbai, INDIA

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi Vipya vya Corona nc...

Jinamizi lililozuia Uhuru wa Kujielezea Mtandaoni Latoweka, Watanzania Kuendelea Kufurahia Twitter bila VPN

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, watumiaji wa Twitter pamoja na mitandao mingine ya kijamii waliripoti kufungiwa kwa majukwaa ya mitandao ya kijamii baada ya...