Duniani

Joe Biden Afanya Mazungumzo ya Simu na Rais Kenyatta

Rais wa Marekani amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa na kumhakikishia ushirikiano thabiti wa Marekani na Kenya. Katika taarifa k...

Mke wa El Chapo Guzman Akamatwa kwa Ulanguzi wa Dawa za Kulevya, Marekani

Emma Coronel Aispuro, mwanamitindo wa zamani mwenye umri wa miaka 31, amekamatwa jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles jimboni Virginia na anatarajiwa...

Kundi la Waasi, FDLR-FOCA Lakana Kuhusika na Mauaji ya Balozi wa Italia

Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Atta...

Picha na Video na NASA Kutoka Sayari ya 'Mars'

Tukio hilo lina kuja siku nne baada ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) kufanikiwa kuwezesha kutua salama kwa chombo chake cha Perseverance rover katika&n...

Mitego 4 ya Kisaikolojia Inayotumiwa na 'Supermarkets' Kukurubuni Ufanye Manununuzi

Umewahi kujiuliza kwanini takribani supermarket zote zina mpangilio unaofanana? Hii sio bahati mbaya. Ni matokeo ya majaribio ya ujanja wa kisaikolojia katika jiti...

Utafiti: Mbwa Wana Uhusiano Mzuri na Wanawake Kuliko Wanaume

Katika utafiti uliochapishwa na Royal Society of Open Science, Marekani ulichunguza mbwa 18 na kurekodi milio yao kwa kujibu hali katika muktadha tofauti tofauti.W...