Afrika

NIGERIA: Wasichana 300 Watekwa Nyara Baada ya Shule Kuvamiwa na Majambazi

Watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa majambazi wameshambulia Shule ya Sekondari ya Wasichana inayomiliiwa na serikali ya Nigeria, Jangebe katika mkoa wa Zamfara na...

Joe Biden Afanya Mazungumzo ya Simu na Rais Kenyatta

Rais wa Marekani amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya Ijumaa na kumhakikishia ushirikiano thabiti wa Marekani na Kenya. Katika taarifa k...

Kundi la Waasi, FDLR-FOCA Lakana Kuhusika na Mauaji ya Balozi wa Italia

Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Atta...

Tanzania Miongoni mwa Nchi 10 Zilizowekewa Vikwazo vya Usafiri kwa Muda Oman

Serikali ya Oman imetoa orodha ya nchi 10 ambazo zimezuliwa kuingia nchini humo chini ya uamuzi wa hivi karibuni uliopitishwa na Kamati Kuu ya kushughulikia janga...

Shirika la Umeme, Kenya Matatani Baada ya Twiga wawili `Kupigwa Shoti'

Taarifa kutoka kwa Huduma ya Wanyamapori Kenya (KWS) ilithibitisha kutokea kwa tukio hilo la twiga wawili 'kupigwa shoti' ambalo lilitokea katika Hifadhi ya Soysamb...

Rais Tshisekedi Amteua Sama Lukonde Kyenge kuwa Waziri Mkuu mpya DRC

Kyenge aliteuliwa na Rais Felix Tshisekedi Jumatatu ya Januari 15 ikiwa ni zaidi ya wiki mbili tangu Waziri Mkuu wa zamani Sylvestre Ilunga ajiuzulu kufuatia kura...