Fursa

Neema kwa Walimu na Madaktari, Serikali Yatangaza Ajira Mpya 9,675

Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)  imetangaza jumla ya ajira mpya 9,675. Tamko lililotolewa Jumapil...

Her Initiative Yazindua Jukwaa la Panda Digital Kuwezesha Wasichana Kujitegemea Kiuchumi

Shirika la Her Initiative kwa kushirikiana na Kampuni ya Serengeti Bytes limezindua jukwaa la kidigitali ambalo ni jukwaa la kwanza la kiswahili lenye lengo la kuw...

Diamond Platnumz Alamba Ubalozi Itel

Mwanamziki nguli wa Tanzania Diamond Platnumz kutoka lebo ya Wcb Leo Tarehe 01/4/2021 ametangaza kuingia Mkataba wa kuwa Balozi wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za mko...

Picha na Video na NASA Kutoka Sayari ya 'Mars'

Tukio hilo lina kuja siku nne baada ya Shirika la Anga za Juu la Marekani (Nasa) kufanikiwa kuwezesha kutua salama kwa chombo chake cha Perseverance rover katika&n...

Mitego 4 ya Kisaikolojia Inayotumiwa na 'Supermarkets' Kukurubuni Ufanye Manununuzi

Umewahi kujiuliza kwanini takribani supermarket zote zina mpangilio unaofanana? Hii sio bahati mbaya. Ni matokeo ya majaribio ya ujanja wa kisaikolojia katika jiti...

Teknolojia ya Masoko, Fursa kwa Wajasiriamali Wasichana: Je, Wanaichangamkia?

Changamoto katika biashara ni nyingi na hutokea mara nyingi, lakini changamoto inayoweza kumrudisha nyuma mfanyabiashara ni ile ambayo ina uhusiano wa moja kwa moja...