Burudani

Harmonize, Rayvanny wanavyotembelea kiki

Ndiyo! Ni kiki, wala haihitaji kutazama mara mbili mbili. Wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kila mmoja kwa nafasi yake alifanya mbwembwe zake ilimradi kumf...

Z Anto Asema Wasanii wa Zamani Hawajashindwa Kuendana na Mazingira ya Kisasa Kuimba Muziki

Mkali wa wa kitambo wa ngoma ya Binti Kiziwi, Z Anto amesema hafikirii kama wasanii wa zamani wameshindwa kuendana na mazingira ya kisasa ya kuimba na kufanya muzik...

Bob Marley, miaka 40 tangu afariki bado urithi wake unaishi

Miaka 40 tangu afariki, mashabiki wa muziki na wapenda amani na umoja wanaendelea kusheherekea maisha ya gwiji wa muziki wa raggae, Bob Marley. Bob Marley alizaliwa...

MTV Base watangaza kuahirisha Tuzo za MTV Afrika 2021

MTV wametangaza kuahirisha tuzo hizo zilizokuwa zifanyike Kampala Februari 20, 2021 mpaka watakapotangaza tena. Kufuatia hali ya kisiasa nchini Uganda, mashabik...

Wasanii wa Kike Tanzania Wanaotamba YouTube, Zuchu Kileleni Ndani ya Mwaka Mmoja

Biashara ya maudhui ya muziki mtandaoni kwa njia ya kusikilizwa na kutazamwa imeendelea kukua, huku wasanii kote duniani wakiendelea kuwekeza kwenye namna mbalimbali...

CPwaa Afariki Dunia Kabla ya Kutimiza Ndoto Yake ya Kurudi Tena kwenye Muziki

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva aliyejizolea umaarufu kwa mahadhi ya michano inayochezeka maarufu kama ‘crunk’ – CPwaa amefariki dunia alfajiri ya Januari 17, 2020...