Afya

#MALI: Mwanamke, 25, Ajifungua Mapacha 9

Mwanamke mmoja nchini Mali amejizolea umaarufu baada ya kujingua salama mapacha tisa katika hospitali ya Moroco.Halima Cisse, 25, kutoka nchi hiyo ya Magharibi mw...

Tanzania Yaungana na Nchi 5 za Afrika Zilizositisha Safari za Ndege Kwenda Mumbai, INDIA

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi Vipya vya Corona nc...

Vitu Vitano Ambavyo Husababisha Kiwango cha Juu zaidi cha Uraibu

Kwa miaka mingi, kumekuwa na mjadala mpana miongoni mwa watafiti kuhusu vitu vinavyosababisha kiwango kikubwa zaidi cha uraibu kwa binadamu. Uraibu ni utegemezi ulio...

Wafanyabiashara Wadogo Morogoro Wapewa Mbinu za Kutibu Maji

Wafanyabiashara wadogo katika soko la Mawenzi, soko la Madizini na soko la Mji Mpya yaliyopo katika manispaa ya mji wa Morogoro wamejengewa uwezo wa namna ya kutumia...

Ufilipino: Mwanaume Mmoja Afariki Baada ya Polisi Kumrusha Kichura Mara 300 kwa Kosa la Kukiuka Amri ya Kutotoka Nje

Alhamisi iliyopita Darren Manaog Penaredondo umri miaka 28, alikuwa nje akinunua maji katika duka wakati aliposimamishwa na wanamgambo wa eneo hilo kwa kukiuka amr...

Ukatili wa Kingono Majumbani Nani Alaumiwe?

Suala la ukatili wa kingono majumbani linazidi kuitafuna jamii ya leo, watoto wamekuwa wakifanyiwa ukatili huo wa kingono na watu wa karibu wanaomzunguka na wengi...